Kongamano la kimataifa la kilimo na lishe lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo kwa kushirikiana na Shule ya Lishe na Tiba za magoniwa ya kitropiki ya London na wadau wengine, ambapo Wanasayansi, watunga sera, wakulima na wataalamu zaidi ya 1500 wanashiriki kwenye kongamano hilo ambalo litafanyika katika Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 22 - 26 Juni 2025.